Waione kwenye jalada kunguni watiifu wa mama Abdul.
Lucas Mwashambwa ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2
Lucas Mwashambwa ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2
Hapo ulipo hali ipoje? Shule zina hadhi ya Trillioni 1?Kwa kifupi nyumbu mmekwama, mtamakiza gallery yote ya picha zenu za miaka ya 2000s, 2010, 2015 Hadi za miaka ya 80 mtazitafuta. Mama mmeshamshindwa....poleni.
Ya trilioni hakuna na sijasikia kuwa Kuna shule inajengwa kwa trilioni. Za bili 4/5 zipo na Zina viwango, karibu ujitembelee ujionee.Hapo ulipo hali ipoje? Shule zina hadhi ya Trillioni 1?
Unaelewa ulichoulizwa? Hivi trilioni moja unaijua kweli? Ukigawanya kwa idadi ya vyumba vipya kabisa vya madarasa kwa kata 3956 Tanzania nzima unapata sio madarasa tu bali shule mpya zenye hadhi zaidi ya moja kila kata. Swali, Je, hapo ulipo kuna shule mpya ngapi?Ya trilioni hakuna na sijasikia kuwa Kuna shule inajengwa kwa trilioni. Za bili 4/5 zipo na Zina viwango, karibu ujitembelee ujionee.
Ndugu yangu nikusaidie tu; kama mnataka kumponda mama Samia kwa kutumia takwimu za mashule, hakika mtaumbuka saa 10 alfajiri hata jogoo halijawika. Nyie pikeni pikeni hizo hoja zingine ambazo wananchi wengi hawana uelewa nazo (km vile hayo madeni, tozo, uwekezaji (endeleeni kusema kuwa anawapa waarabu tu kwakuwa ni wajomba zake....hili, hata mama mwenyewe ameamua amuachie Mungu ndiye atakayelijibia) hivyo mnaweza kutosea hili na lile mkawabamba nyumbu wawili watatu wa kuvunia ruzuku.Unaelewa ulichoulizwa? Hivi trilioni moja unaijua kweli? Ukigawanya kwa idadi ya vyumba vipya kabisa vya madarasa kwa kata 3956 Tanzania nzima unapata sio madarasa tu bali shule mpya zenye hadhi zaidi ya moja kila kata. Swali, Je, hapo ulipo kuna shule mpya ngapi?
Akili yako iko sawa kweli? Unapingana na uhalisia? Hakuna mtu anayetaka kumchafua yeyote isipokuwa tunahoji uhalali wa matumizi ya fedha zetu. Trilioni 1.3 za COVID zilitolewa, Kweli au si kweli? Hivi Trilioni 1.3 unaijua vizuri? Na hapo si kwamba hapo awali hapakuwa na shule, la hasha, Tayari zilishakuwepo! Kwa pesa hiyo ilipaswa kila hatua 10 Mtanzania akutane na shule yenye ubora na hadhi (kuanzia madarasa,ofisi mpaka vyumba vya ICT)! Haya tuoneshe hayo maelfu ya shule! Hiyo shule ya bilioni 5 iko wapi? Ebu tuoneshe na ututajie specifically! Usitufanye watanzania wajinga! Unaposema mashule meeeeengi, Yako wapi? Kwa pesa hiyo kila kata mpaka sasa ilipaswa kuwa na shule mpya za kisasa kabisa si chini ya tatu. Haya anza kunitajia kila kata kati ya kata zote 3956 hizo shule zipo wapi?Ndugu yangu nikusaidie tu; kama mnataka kumponda mama Samia kwa kutumia takwimu za mashule, hakika mtaumbuka saa 10 alfajiri hata jogoo halijawika. Nyie pikeni pikeni hizo hoja zingine ambazo wananchi wengi hawana uelewa nazo (km vile hayo madeni, tozo, uwekezaji (endeleeni kusema kuwa anawapa waarabu tu kwakuwa ni wajomba zake....hili, hata mama mwenyewe ameamua amuachie Mungu ndiye atakayelijibia) hivyo mnaweza kutosea hili na lile mkawabamba nyumbu wawili watatu wa kuvunia ruzuku.
Hakuna eneo, kwa uelewa wangu, lililofanya vizuri kama hilo....yamemwagika mashule kibaaaao yenye viwango pembe zote za nchi hii labda kama hufuatilii. Kuna mashule ya wasichana ya bilioni 4 mpaka 5 (kwa Moja) karibu Kila mkoa (kama sio wilaya kabisa); Kuna mashule ya kiwango hicho hicho kwa ajili ya wavulana yanaendelea kujengwa hivi tunavyoongea. Kuna mashule ya kata meeeengi ya milioni 500+ yenye maabara, utawala, computer rooms n.k yamemwagwa nchi yote.
Nikionaga hapa tu basi.
Mkuu unabishana na mapoyoyo waimba mapambio wa chama cha mboga mboga wao kwao kila kitu ni mama kafanya hadi unajiuliza wao wanafanya nini?Akili yako iko sawa kweli? Unapingana na uhalisia? Hakuna mtu anayetaka kumchafua yeyote isipokuwa tunahoji uhalali wa matumizi ya fedha zetu. Trilioni 1.3 za COVID zilitolewa, Kweli au si kweli? Hivi Trilioni 1.3 unaijua vizuri? Na hapo si kwamba hapo awali hapakuwa na shule, la hasha, Tayari zilishakuwepo! Kwa pesa hiyo ilipaswa kila hatua 10 Mtanzania akutane na shule yenye ubora na hadhi (kuanzia madarasa,ofisi mpaka vyumba vya ICT)! Haya tuoneshe hayo maelfu ya shule! Hiyo shule ya bilioni 5 iko wapi? Ebu tuoneshe na ututajie specifically! Usitufanye watanzania wajinga! Unaposema mashule meeeeengi, Yako wapi? Kwa pesa hiyo kila kata mpaka sasa ilipaswa kuwa na shule mpya za kisasa kabisa si chini ya tatu. Haya anza kunitajia kila kata kati ya kata zote 3956 hizo shule zipo wapi?
Kitaratibu sidhani km bajeti ya afisi kuu huwa inapitiwa na siejii! 😄