Pesa za kukabiliana na El Nino zinatumika kuziba mitaro ya maji ya mvua kando ya barabara Mbagala Rangitatu.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Your browser is not able to display this video.

Katika hali ambayo si ya kawaida manispaa ya Temeke imeamua kukifanya tunacho katazwa, manispaa ya Temeke inaziba mitaro ya maji ya mvua kwa kutumia mbao kisha kuwauzia wafanyabiashara eneo la juu ya mtaro futi 4×4 shs. 200,000/=
Your browser is not able to display this video.
 
HUYU ALIKUWA ASKARI WA JESHI AU
 

Attachments

  • HUH2IagXIAAAulj.jpg
    136.7 KB · Views: 11
Hizo mbao hazijapitiwa bado?
Tunaanza kuwa wema 🤣
 
Mjomba acha watu wale hela. Fikiria huku milimani niliko miaka nenda mvua za vuli zinanyesha ifikapo miezi hii. Chakushangaza mwaka huu haziitwi mvua za vuli kama ilivyo zoeleka! Badala yake zinaitwa mvua za Elininyo!

Mjomba wahuni siyo watu wazuri.
 
Huo mji pesa nje nje ndio maana watu ni wengi sana...
 
Nitarudi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Humo kulikuwa na vibanda wakavibomoa kwa madai vimejengwa juu ya mitaro ya maji ya mvua sasa wanauza sh.200,000/=.
Halafu takataka zikijaa na maji yasipopita kwenye hiyo mitaro itakuwaje

Hilo hawajaliwazia kabisa kwa akili zao hizo
Tunajua uchafu haukwepeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…