Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Ninapoishi mimi wachina wanakuja mara moja kwa week siku za jumamosiChai.
Pesa ya dubu inatolewa kila siku asubuhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapoishi mimi wachina wanakuja mara moja kwa week siku za jumamosiChai.
Pesa ya dubu inatolewa kila siku asubuhi.
biashara ya kuuza chenchi ipigwe marufuku. Pia hii nayo madubu yapigwe marufuku
HahahahKumbe madubu hayajapigwa marufuku? Ngoja nikanunue moja niweke mahala
Haya madudu ilibidi yapigwe marufukuNinapoishi mimi wachina wanakuja mara moja kwa week siku za jumamosi
Mjmi sizijui rangi.Hivi zile sarafu za Tsh hamsini,mia na mia mbili(tukiacha mia tano)ni za rangi ya SILVA/SILVERHivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano.
Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja kwa sababu ya hii kadhia.
Ukienda dukani na elfu kumi, unaweza unaweza usihudumiwe kwa sababu ya ukosefu wa chenchi. Sio sarafu hata pesa za noti nazo hamna
Miongoni mwa sababu zilizochangia haya ni uuzwa wa chenchi unafanyika hasa sehemu za stendi. Biashara ya namna hii ilipigwa marufu kipindi miaka michache nyuma lakini sasa imerudi tena. Ukifika stendi ndogo ya mbezi, utaona hili. Konda wa
Kingine ambacho kinachangia uadimikaji wa sarafu ni yale madubu ya kamali ya wa china. Mchezo huu huchezwa kwa kutumia mia mbili. Pesa hiyo ambao huangizwa ndani ya dubu hukaa mda mrefu mno kabla ya kutolewa, hii hufanya pesa hii isiwe kwenye mzunguko mda mrefu.
Wito wangu 'wenye mamlaka, hebu fanyeni hima kuangalia na kulidhbiti hii kadhia haraka iwezekavyo'
Nimenya kazi na wachina anachokisema ni sahihi, kwenye kambi zao wamezifungia mia mbili nyingi ili ziweze kuendesha biashara yao ya bonanza!Sio kwamba hizo shilingi zipo humo ndani n bajeti kwa ajili ya atakayeshinda? na ndio mzunguko wnyw huo
Au ndo hakuna kushinda 😂
Eh bc hao wachina n Choka mbaya sasa c 200 200 ndo wanajaza magunia kukaa nazo ndani 😂
Bado wanatumia mia mbili karibia makampuni yote, kampuni mpya kama slots and keno, meteora na agamalotto ndo wamekuja na hizo coin za china kama backup plan endapo wakiishiwa mia mbili mashine iendelee kupiga kazi!Dubwi kwasasa hawatumi hizo mia mbili, wamekuja na pesa zao ziko kama mia mbili lakini zao nyeupe
Kama ni mjini sana huwa wanapita karibia kila siku, lakin sehemu za vijijini wanakaa siku 3,4 mpaka 5 hawajaja kufungua mashine!Ninapoishi mimi wachina wanakuja mara moja kwa week siku za jumamosi
Wachina hawauzi hizo mashine na kuzipata kuna process kibao tu... Inabidi uwe na mtaji wa kutoshaKumbe madubu hayajapigwa marufuku? Ngoja nikanunue moja niweke mahala
Hayawezi kupigwa marufuku leo wala kesho, yanaingiza mapato makubwa alafu kuna wakubwa wa nchi wamewakingia mgongo hao wachina wanakula nao sahani moja!Haya madudu ilibidi yapigwe marufuku