Pesa za Umma zinatumika vibaya na tuko kimya kama kondoo

Pesa za Umma zinatumika vibaya na tuko kimya kama kondoo

Nimeona upuuz wa kizmkazi na tukio la kufuja pesa za wananchi wafuja jasho

Watu wa kada mbali mblia redio kubwa kubwa zote ziliamia kizimkaz kurusha matangazo live na Leo kukuzanya wakuu wote wa mikoa na wilaya kulazimizhwa kufika zanzibar kizmkazi.

Watanganyika umetulia kama kondoo huku pesa zetu zikiibiwa mchana kweupe
Bado 50m zimeenda yanga

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom