Pesa zangu ni zangu sijaja duniani kusaidia Ulimwengu

Hayo ni mawazo ya kila masikini

ukipata hela utabadilika

umasikni unaleta chuki na choyo
 
Ur entitled to ur own opinion, Ila, huwezi, kutoa ambacho huna,
Fedha uliyonayo inakutosha wewe tu, hata dunia haitegemi kitu kutoka kwako, just sit back and enjoy! Wenye nazo kutoa, sio home, hoja kwao watoe kwa nani na kiasi gani,
Cheki huyu kwamba,
Tonyelumerufoundation.org, cheki huyo mwamba anavyosaidia vijana wa Africa,
The bible says, "to whom much is given, much is required"
Sasa hata unwshindwa hata Kuonga dem 500K, au, kusomesha veta mtoto wa ndugu, and you call urself Man!
 
hao tunaita chawa sasa
 
Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bure
 
Nimepitia umasikini uliokubuhu ila sijawahi kuomba pesa. Hata kama pesa imeokotwa, nako kuokota ni jasho, ni kwa nini na wewe usiokote? Hakuna kuomba pesa kama upo timamu, fanya kazi upate pesa, sio kuomba.
Bado hujapitia shida umeshawahi kuumwa umelala kitandani miaka kama mitano hivi hufanyi kazi uone kama utaomba hela
Hujafa hujaumbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…