Pesa zangu ni zangu sijaja duniani kusaidia Ulimwengu

Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu ni hangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee kenge mmoja aseme eti saidia wasiojiwezamara saidia yatima hivi mnaakili kweli Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au Mimi ndio baba au serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga Fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua Sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema. Nina roho mbaya potelea mbali
Familia Je?
 
Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au mimi ndio baba au Serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema.

Nina roho mbaya potelea mbali.
Duniani hukujileta, uliletwa. Hao waliokuleta walipoteza pesa zao kwa ajili yako. Leo wewe hutaki kusaidia pesa wengine??? 🤔
 
Sawa sawa mwendo wa kukaziana..
Domana pdidyy alikuwa anawanyuka si wanataka hela na umaarufu

Ova
 
Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au mimi ndio baba au Serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema.

Nina roho mbaya potelea mbali.
Kweli mkuu halafu sikuhizi watu wamekuwa ombaomba kupita kiasi yaani kama mimi karibia kila siku nakutana na vizinga sio wanaume sio wanawake , ndugu hadi marafiki .
Kwa kweli ukauzu unahitajika ukijifanya una roho nzuri utakuwa mtu wa kutoa fedha bila mpangilio
 
Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au mimi ndio baba au Serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema.

Nina roho mbaya potelea mbali.
Ulishashinda kiasi gani?
 
Hata mie utanitosa mkuu uki-win?
 
Back
Top Bottom