Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Najua unapitia msoto mkali na una stress ndo maana unatakana watu hovyo mimi siwezi kukutukana najua upo kwenye msoto mkali ila utavuka pambanaFanya kazi ngedere wewe hamna vya bure
Msoto unapitia wewe maana umeandika comment zaidi ya 5 inamaana kisu kimegusa mfupa fanya kazi ngedere wewe hamna vya bureUnapitia msoto mkali kwa hiyo umeandika uzi kwa machungu kwamba siku ukipata hela hutasaidia watu hizo ni stress zinakusumbua na sio kitu kingine
Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bureNajua unapitia msoto mkali na una stress ndo maana unatakana watu hovyo mimi siwezi kukutukana najua upo kwenye msoto mkali ila utavuka pambana
Najaribu kukusaidia na hakuna kikomo cha mtu kutoa comment kwenye uzi huku jamiiforumMsoto unapitia wewe maana umeandika comment zaidi ya 5 inamaana kisu kimegusa mfupa fanya kazi ngedere wewe hamna vya bure
Maumivu unayopitia ni makali ila yatapoaFanya kazi ngedere wewe hamna vya bure
Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bureMaumivu unayopitia ni makali ila yatapoa
Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bureNadhani ungewaambia hao wagonjwa wenzio wanaokuomba pesa huko vibandani. Nani anashida na pesa za kubet?? Sijawah kupokea hata mia ya aina hiyo.
Unafoka sanaKwani Mimi nimesema lazima
Huenda maana kama hujaombwa msaada na yeyote ukaanza kutamba kutosaidia, inaleta ukakasi kidogo.anapitia msoto ndo maana kaandika huo ujinga
Ukiwa kwenye msoto unatoa maneno mengi ya kijinga
Mtaani maisha magumu sana
We bado masikini tu acha kujaza saver humu.Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au mimi ndio baba au Serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema.
Nina roho mbaya potelea mbali.
Sasa huna kitu, utatoa ni ni? Malinda!unafikiri Bakheresa akitoa msosi, ijumaaa kwa wasio na uwezo, anatoa kwa, malipo?Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bure
Kumbe pesa yenyewe ya kubeti, ni sawa tuu... miaka ya nyuma maeneo Kikwa, eneo liitwalo SINGINO, kama waelekea Kivinje alikuwepo Jamaa mmoja mwenye changamoto ya akili. Huyu bwana akikuona lazima akuombe pesa. Sasa ikitokea hata ukampa laki moja lakini ukimwambia hii pesa nimemuibia mtu au nimeuza bangi haraka sana anakurudishia tena kwa ukali kabisa kwamba hataki pesa ya zambi!! Mwezi ujao naenda Kikwa Masoko lazima nitaulizia habari zake huyu mwamba...Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au mimi ndio baba au Serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema.
Nina roho mbaya potelea mbali.
Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bure dunia hiiKumbe pesa yenyewe ya kubeti, ni sawa tuu... miaka ya nyuma maeneo Kikwa, eneo liitwalo SINGINO, kama waelekea Kivinje alikuwepo Jamaa mmoja mwenye changamoto ya akili. Huyu bwana akikuona lazima akuombe pesa. Sasa ikitokea hata ukampa laki moja lakini ukimwambia hii pesa nimemuibia mtu au nimeuza bangi haraka sana anakurudishia tena kwa ukali kabisa kwamba hataki pesa ya zambi!! Mwezi ujao naenda Kikwa Masoko lazima nitaulizia habari zake huyu mwamba...
Kwanza kamwe siwezi kuwa ngedere,hata uende kwa mzee Magoma akupe Kurujuani yake. Pili mimi ni mkulima na mfugaji mzuri tuu ukiishiwa pesa ya kubeti njoo shambani kwangu Turiani. Wala usiogope kwamba nitakuwa na yale mambo ya hovyo ya P Didy, niko fresh tunasaidiana watanzania tuu .Fanya kazi ngedere wewe hamna vya bure dunia hii
Narudia tena fanya kazi ngedere wewe hamna vya bure dunia hiiKwanza kamwe siwezi kuwa ngedere,hata uende kwa mzee Magoma akupe Kurujuani yake. Pili mimi ni mkulima na mfugaji mzuri tuu ukiishiwa pesa ya kubeti njoo shambani kwangu Turiani. Wala usiogope kwamba nitakuwa na yale mambo ya hovyo ya P Didy, niko fresh tunasaidiana watanzania tuu .