Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
478
Reaction score
1,025
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.

Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.

Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?

Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.

Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.

Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.

Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.

By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.

Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
 
Attachments

  • Screenshot_20250328-082926.png
    Screenshot_20250328-082926.png
    283.7 KB · Views: 30
  • FB_IMG_1743154424925.jpg
    FB_IMG_1743154424925.jpg
    120.6 KB · Views: 35
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.

Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.

Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are expecting Samia to do better than that?

Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.

Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.

Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.

Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.

By the way hii ndo legacy unayoitengenezwa ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.

Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.

Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana madogo Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Mkuu sikio la kufa?....
Unapigia mbuzi gitaa, hawezi kucheza!
 
Wabongo shida tupu kwenye akili zao badala ya ubongo kuna kiazi mbatata.Mmeua viwanda vya nguo mkaanza kujifanya mnatengeneza batiki.Mmeua viwanda vya sabuni mkaanza kujifanya mna ujasiriamali kwa kutengeneza sabuni za maji na kuweka rangi na kuanza kuuza mtaani kuanzia buku.
 
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.

Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.

Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?

Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.

Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.

Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.

Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.

By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.

Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Anakula nao, huko CCM hakuna msafi. No reforms No election.
 
Watanzania tumelogwa na alietuloga na yeye alijiloga, mnataka raisi achukue hatua kali ili mmuite dikteta,mnataka raisi awaseme vibaya hadharani hao wanaokula pesa ili mseme ana wadhalilisha,mnata awapandishe mahakamani ili mseme wamesingiziwa.historia inaonyesha kuwa watanzania tuna akili za hovyo na hatujui tunataka nini
Tena na bado,watanzania hata akishushwa malaika atawale bado tutamkatam hadi tutubu kwanza, tulisha tenda dhambi kama wagalatia wasiokuwa na akili.
 
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.

Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.

Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?

Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.

Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.

Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.

Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.

By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.

Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.

Ni lini uliwahi kusikia mwizi akihangaika kuzuia wizi?

Unaweza kueleza Samia amepata wapi pesa zaidi ya bilioni 50 za kununulia pikipiki 18,000 za kugawa nchi nzima?

Unaweza kueleza Samia amepata wapi pesa halali zaidi ya bilioni 200 za kugawia mitungi ya gas kwa akina mama nchi nzima?

unaweza kueleza ni wapi Samia amepata pesa za kuwanunulia vitenge karibia akina mama wote wa nchi hii?

NB: Ni lini binadamu akayachukia mambo ambayo yeye mwenyewe anayapenda na kuyatenda?
 
Back
Top Bottom