Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
NO ELECTION NO ERECTION.No Reform No ELECTION....

23-24 si ndo alikuwa ofisini na yeye anajua kila kitu hivyo fault ni yake hiyoHakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.
Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.
Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?
Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.
Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.
Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.
Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.
By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.
Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.
Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Maelezo mengi ya CAG na TAKuKURU ni hasara za kiutendaji na sio kuliwa.Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.
Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.
Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?
Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.
Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.
Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.
Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.
By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.
Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.
Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Zamani nikiwa mwanafunzi nikisoma 'history' kuhusu biashara ya watumwa.Huyu mama anaiangamiza Tanganyika kwa kutumia watanganyika wahuni.
Ataicha na madeni makubwa na kumiliki kila kitu Tanganyika.
Naifananisha na awamu ya ruksaUsipotajirika awamu hii basi hautajiriki tena
Anawaonea aibu ? Dah. Urais si wa kila mtuHv ule usemi wake wa 'nendeni mkalitizame hilo' ameacha kulitumia? 😂 mana yeye ndo rais mwenye mamlaka ila bado anataka wengine ndo wakatizame 😂
Incompetency ni tatizo serikalin. bad news is wana kumbatianaTatizo ni incompetency zingatia neno incompetency
Tanzania tuna safari ndefuMkuu sikio la kufa?....
Unapigia mbuzi gitaa, hawezi kucheza!
BoldlyNo Reform No ELECTION....
Mwizi ni mwizi watutengenezee hata kiwanda kimoja tu cha nguo inatoshaWizi hauna Jinsia.
Ndege wa rangi moja huruka pamojaIncompetency ni tatizo serikalin. bad news is wana kumbatiana
Mpate wapi?Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.
Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.
Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?
Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.
Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.
Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.
Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.
By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.
Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.
Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Mama hataki kupambania chochote, anasuburi muda wake uishe tu akapumzike, anaogopa mafisadi watamuuaKabisa kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬
Kanajifanya KAMALKIA!
Watu wana njaa, yeye anasema wapewe KEKI!
Hakuna rais pale!
Hakika, akiwa Rais hakuna ela iliyochukuliwaMama safi ccm safi hizo rushwa na ufisadi ni zaman sana kabla hajawa rais
Mama kizimkazi humuweziHv ule usemi wake wa 'nendeni mkalitizame hilo' ameacha kulitumia? 😂 mana yeye ndo rais mwenye mamlaka ila bado anataka wengine ndo wakatizame 😂
Hakika tumuombe Mungu atusimamishie mwingine atayetoa maisha yake kwajili ya TanzaniaSure watu wanapiga hela mbaya sana yaan km hujapiga hela awamu ya huyu Bibi huko mbele kuna Shimo kuna Mkono wa Chuma mwingine anaenda kunyanyuka atakuja kutembeza spana takatifu amini kwamba watu watalia na kusaga meno, huyu waache wale waache watafune wamalize muda wake utaisha ataenda zake kuna chuma kitabuka kuja kuwachalaza hawa wanaoshiba sasa kwa hio wakiona ameenda basi waende nae maana kitachowakuta watalia sana
Hiyo amekataa23-24 si ndo alikuwa ofisini na yeye anajua kila kitu hivyo fault ni yake hiyo
Ana vituko vyake huyu mama wa Kizanzibari 😂Mama kizimkazi humuwezi