Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Usipotajirika awamu hii basi hautajiriki tena
Sure watu wanapiga hela mbaya sana yaan km hujapiga hela awamu ya huyu Bibi huko mbele kuna Shimo kuna Mkono wa Chuma mwingine anaenda kunyanyuka atakuja kutembeza spana takatifu amini kwamba watu watalia na kusaga meno, huyu waache wale waache watafune wamalize muda wake utaisha ataenda zake kuna chuma kitabuka kuja kuwachalaza hawa wanaoshiba sasa kwa hio wakiona ameenda basi waende nae maana kitachowakuta watalia sana
 
Sahihi kabisa ndugu hawa watanzania ni watu wa ovyo sana, hawajui wanachotaka ni nini hasa....

Akipatikana raisi anayekemea vitendo vya ufisadi,rushwa na wizi wanamchukia sana na kumuona ni muonevu na hata kumuombea kifo.... haya wakimpata ambaye yuko kinyume chake napo pia tabu... yaan hawa watu bwana bwana..

Mimi tangu awamu nione JPM akitunwa na kuitwa majina yote ya fedhea, sasa hivi nataka watanzania ndio waibiwe kabisa tena sana, yaani hata sasa hivi naona ufisadi uliopo unafanyika kwa kiwango kidogo sana.
 
Mwenge umetuloga na utazidi kutuloga.
 
U
Ukiona mama hakemei wizi naye yumo humohumo, jamani huyu bibi ni janga la taifa
 
 

Attachments

  • images - 2025-02-28T165906.781.jpeg
    12.5 KB · Views: 25
Kuna sabuni zao za kuogea ukiogea zinalainika hazikauki.
 
We sikitikia huo uwezo wako mdogo wa kuelewa. Kwa akili hizo huwezi kumwelewa Rais wetu.
 
We bwege upuuzwe
 
Kama alishasema wale kwa urefu wa kamba zao ,unategemea nini hapo?
 
Huyu mama anaiangamiza Tanganyika kwa kutumia watanganyika wahuni.

Ataicha na madeni makubwa na kumiliki kila kitu Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…