Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

23-24 si ndo alikuwa ofisini na yeye anajua kila kitu hivyo fault ni yake hiyo
 
Maelezo mengi ya CAG na TAKuKURU ni hasara za kiutendaji na sio kuliwa.

Na pia Kuna mashirika 27 out of 31 yamepata faida na ndio msingi wa Rais kusema ufanisi umeongezeka.

Pia πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imekuwa namba 2 Kwa ufanisi wa Mapambano ya Rushwa nyuma ya Rwanda.
 
Huyu mama anaiangamiza Tanganyika kwa kutumia watanganyika wahuni.

Ataicha na madeni makubwa na kumiliki kila kitu Tanganyika.
Zamani nikiwa mwanafunzi nikisoma 'history' kuhusu biashara ya watumwa.

Nilikuwa najiuliza maswali bila kupata majibu: 'wakati wa kukamatwa kwanini hawakusaidiwa na raia wenzao kujihami'?'

'wakati wapo kwenye msafara kwa wingi wao na hawakuwa na cha kupoteza kwanini wasirebell?'

'Hao watemi waliokuwa wakiuza maeneo ya aridhi na tawala zao kwa wakoloni, wao hawakuhofia kutawaliwa?'

Majibu nimekuja kuyapata uzeeni kwamba: huo ni mfumo wa viongozi takribani wote wa kiafrika, hao watemi ni mwendelezo ule ule wa viongozi wa zamani kuja kwa viongozi wa leo, kujali matumbo yao bila kuangalia mustakabali wa nchi, wanaweza kuuza eneo lolote na chochote bila kujali mustakabali wa baadaye.

Na kwamba kumbe watumwa walitekwa na kuuzwa bila watemi na raia kufanya lolote kuokoa wenzao kama ilivyo sasa, raia wanatekwa na kuuawa hakuna hatua inayochukuliwa na Serikali ama na raia kwa umoja wetu! 😌😌

Rasilimali za nchi zinatapanywa na kuliwa ovyo na wachache, nchi kuachiwa madeni ya ajabu ajabu tumekaa tu ghaa, hata kulaani tu kwa maneno hatuwezi!

Mindset zetu zimechezewa tumefanywa wote ni machawa wa kusifu na kuabudu kama enzi hizo watu walifanywa maNOKORA!

Huu si ukoloni tena huu?

Bila vijana kujitafakari nchi ishauzwa hii, kujikomboa kutoka katika makucha ya neo colonialisim hakuepukiki.
 
Mpate wapi?
 
Kabisa kabisa kabisa 🀬 🀬 🀬 🀬 🀬
Kanajifanya KAMALKIA!
Watu wana njaa, yeye anasema wapewe KEKI!
Hakuna rais pale!
Mama hataki kupambania chochote, anasuburi muda wake uishe tu akapumzike, anaogopa mafisadi watamuua
 
Hakika tumuombe Mungu atusimamishie mwingine atayetoa maisha yake kwajili ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…