Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Huu wimbo utaimbwa sana kama CCM wakiendelea kuwa madarakan
 
Huelewi dhana ya ukaguzi wa hesabu za serikali na hata jargon wanazotumia. Kiufupi wewe ni mbilikimo kwa jambo unalolizungumzia.
 
Halafu why usipolipa Kodi Kuna shieria Kali Ila Kama Kodi ilitumika ovyoovyoo hakuna kitu kinafanyika, yaani wewe unabanwa ulipe Kodi kwa Sheria Kali mno na ilhali inaenda kutumika kukodi software ya kufuatilia umeme kukatika kwa bilioni 70
 
We have the worst president our nation has ever had, the most incompetent! Say it loud brother!!
 
Huelewi dhana ya ukaguzi wa hesabu za serikali na hata jargon wanazotumia. Kiufupi wewe ni mbilikimo kwa jambo unalolizungumzia.
Kwa statement yako unataka kusema hakuna wizi Wala upotevu wa pesa kwenye report ya CAG?
 
CDM mjikite kuondoa ujinga wa wananchi itawasaidia kuliko kupambana na ccm.

Nmeisikiliza wimbo wa lemi ongala, kumbe upigaji sio leo kitambo tu watu wanajilia pesa zisizo na mwenyewe na wanakufa tunawazika maisha yanaendelea Kama hivi.
 
Hahahah!! Tukisema sisi mnaona tuna msingizia oneni watu wanaiba na YY anabaliki wizi.kisa yy ni Dalali ndio maana.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Na utawasikia vijana wajiajiri
 
Maza Hana uchungu na hii nchi kabisa
Tanganyika au Tanzania imetawaliwa na Rais mgeni .

Hakuna jipya kwa huyu mtu ambaye hajawahi kugombea wala kuchukua fomu zaidi ya kuwekwa na genge la mafisadi kwa manufaa yao .

Kama Pesa alipigwa awamu iliyopita kwa nini zichukue hatua au mtu alishaiba ndio basi kwa sababu ni awamu nyingine?
 
Bila shaka wengi ni wa juzi juzi hapa.

Ukiondoa awamu ya kwanza iliyokuwa na vi-rushwa vidogo vidogo na viwizi vya vijisenti vya hapa na pale uliodhibitiwa kwa dhati, hakuna awamu yoyote nyingine ya utawala wa CCM (2 - 6) ambayo haikuwa na wizi wa kiwango cha ufisadi.

Tofauti ya awamu zote hizo ni katika makundi ya wanufaika, jeuri na ujasiri wa kuzichota, na ufundi wa propaganda na vitisho (terrorism). Basi.

Na ufisadi utaendelea na kushamiri sana hadi wanaoathirika watakapozidiwa na dhiki na, hatimaye, kupona ujinga wa kutoelewa kwa undani kile hasa kinachowasibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…