Pete za Maulamaa

Pete za Maulamaa

Ulinzi wa Maruhani na Subiani. Viongozi wengi wa dini wanazo hizo.
Kama kuna keywords mbili katika dini basi ni "Mungu" na "Shetani". Kama hauko sawa sawa katika hiyo ya kwanza, lazima ufungamane vilivyo na hiyo ya pili.
 
Alishushiwa kitu kizito na marekani likabaki hilo dole la pete
Alipigwa na kombora ambalo halitoi moto, lina visu tu likachana body ya gari likamkata vipande yeye na kamanda wa kundi la kigaidi nadhani ni Islamic Jihad ya Iraq.
Kwenye hivyo vipande kimojawapo ndio hicho kiganja cha mkono na pete yake ikiwa intact.
 
Imagine unaamini katika mungu halafu unaamini ulinzi upo katika Pete, just imagine. Tofauti ya mvaa hirizi na mvaa pete ni nini sasa?
Tofauti ipo kwamba hirizi yaweza kuvaliwa kiunoni, kwapani, mkononi au shingoni ilhali pete huvaliwa katika vidole (isipokuwa dole gumba) au pale shinani . Lakini lengo la vyote hivyo ni moja tu nalo ni KINGA au ULINZI.
 
Kama kuna keywords mbili katika dini basi ni "Mungu" na "Shetani". Kama hauko sawa sawa katika hiyo ya kwanza, lazima ufungamane vilivyo na hiyo ya pili.
Na sababu kubwa kwa nini huwezi kubalansi huku na huku au uwe huegemei upande wowote (uwe Neutral) ni kwamba kati ya wote wawili; wa kwanza ana WIVU mkali sana ilhali huyo wa pili ana CHUKI/HUSDA mbaya sana.
 
Kati ya hizo pete na aliyevaa

Anayepaswa kumlinda mwenziye ni nani?
 
Uongo au ukweli?
Predator ninayosema hii hapaz achana na hilo jini la kwenye movie litakupoteza
UKETNNEUAROITNWICOA3BWELOU.jpg
 
Back
Top Bottom