Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ni pete spesheli na ukihitaji njoo kwa nia ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna keywords mbili katika dini basi ni "Mungu" na "Shetani". Kama hauko sawa sawa katika hiyo ya kwanza, lazima ufungamane vilivyo na hiyo ya pili.Ulinzi wa Maruhani na Subiani. Viongozi wengi wa dini wanazo hizo.
Alipigwa na kombora ambalo halitoi moto, lina visu tu likachana body ya gari likamkata vipande yeye na kamanda wa kundi la kigaidi nadhani ni Islamic Jihad ya Iraq.Alishushiwa kitu kizito na marekani likabaki hilo dole la pete
Tofauti ipo kwamba hirizi yaweza kuvaliwa kiunoni, kwapani, mkononi au shingoni ilhali pete huvaliwa katika vidole (isipokuwa dole gumba) au pale shinani . Lakini lengo la vyote hivyo ni moja tu nalo ni KINGA au ULINZI.Imagine unaamini katika mungu halafu unaamini ulinzi upo katika Pete, just imagine. Tofauti ya mvaa hirizi na mvaa pete ni nini sasa?
Na sababu kubwa kwa nini huwezi kubalansi huku na huku au uwe huegemei upande wowote (uwe Neutral) ni kwamba kati ya wote wawili; wa kwanza ana WIVU mkali sana ilhali huyo wa pili ana CHUKI/HUSDA mbaya sana.Kama kuna keywords mbili katika dini basi ni "Mungu" na "Shetani". Kama hauko sawa sawa katika hiyo ya kwanza, lazima ufungamane vilivyo na hiyo ya pili.
Hellfire MissileAlipigwa na kombora ambalo halitoi moto, lina visu tu likachana body ya gari likamkata vipande yeye na kamanda wa kundi la kigaidi nadhani ni Islamic Jihad ya Iraq.
Kwenye hivyo vipande kimojawapo ndio hicho kiganja cha mkono na pete yake ikiwa intact.
shiriki
Kwani hakuna ukweli wowote? Kwa hiyo kuvaa pete (bila kujali kama ww ni miongoni mwa maulamaa) ni ushirikina i.e. Shirki?shiriki
pete nyingi ni ushirikinaKwani hakuna ukweli wowote? Kwa hiyo kuvaa pete (bila kujali kama ww ni miongoni mwa maulamaa) ni ushirikina i.e. Shirki?
Kumbe ni mbwembwe?pete nyingi ni ushirikina
wachache wanavaa wakiamini ni urembo
Lilirushwa na Predator nadhani. Ndio ilikuwa inafanya patrol anganiHellfire Missile
Zina majini yao
Uongo au ukweli?Lilirushwa na Predator nadhani. Ndio ilikuwa inafanya patrol angani
Predator ninayosema hii hapaz achana na hilo jini la kwenye movie litakupotezaUongo au ukweli?
Ndio inafanya kazi gani huyo mnyama?Predator ninayosema hii hapaz achana na hilo jini la kwenye movie litakupotezaView attachment 3116034
Majini