Peter Banda uwezo wa kawaida sana

Peter Banda uwezo wa kawaida sana

Katika kitu ambacho kilionyesha viongozi wa Simba kwenye usajili ni weupe ni kusajili watoto wengi ambao wao waliamini Simba itawasubiri mbaka wang'are.
Hakuna Klabu kubwa Duniani yenye presha ya matokeo inayo msubiri mchezaji apewe muda awe nyota. Klabu kubwa zinacho itaji ni matokeo, Klabu kubwa hazijali umri wa mchezaji zaidi ya Matokeo Bora.
Mambo ya kukuza vipaji zina achiwa Klabu ndogo na za wastani kwakua hazina presha ya matokeo.
 
Kipaji ni J. mwinuke Tu hawa wengine kina sakho,mhilu show game tu mechi ngumu hawana maajabu.
 
Sawa.
Kwanini unasema Malawi"awajafikisha pasi hamsini aibu"aibu kivipi wakati mpaka hapo walipofikia ni hatua kubwa?

Kuingia robo fainali Afcon sio hatua ndogo ndugu.!
Afcon ni kombe au utopolo!
 
Malawi hawakufikisha hata pasi 50 aibu.
Mkuu, yaani unaifuatilia hadi Malawi sababu ya kumchukia Peter Banda? Watanzania tuache uchizi wa mpira wa miguu, imekuwa too much. Yaani soccer imekuwa na chuki ndani yake kiasi kama hiki cha kufuatilia hadi timu ya taifa yenye mchezaji wa wapinzani wako! Ni ujinga haswaa!
 
Katika kitu ambacho kilionyesha viongozi wa Simba kwenye usajili ni weupe ni kusajili watoto wengi ambao wao waliamini Simba itawasubiri mbaka wang'are.
Hakuna Klabu kubwa Duniani yenye presha ya matokeo inayo msubiri mchezaji apewe muda awe nyota. Klabu kubwa zinacho itaji ni matokeo, Klabu kubwa hazijali umri wa mchezaji zaidi ya Matokeo Bora.
Mambo ya kukuza vipaji zina achiwa Klabu ndogo na za wastani kwakua hazina presha ya matokeo.
Sijui mnataka wafanyeje sasa hao Simba maana wakisajili ambao sio watoto mnasema wamesajili wazee. Hawana jema Simba Sc.
 
Naona umefungua uzi afu umeanza kujijibu kwa IDs nyingine.
 
Back
Top Bottom