Peter Banda uwezo wa kawaida sana

Peter Banda uwezo wa kawaida sana

Yupo slow sana, back pass nyingi labda ball control anajitahidi ila kiufupi hatishi yani hafiki hata kwa Tepsi Evans (19) au Denis nkane.

Wewe sio Mpenzi wa Football ni Shabiki Wa Football, ukiwa Mpenzi wa Football Utajua Banda ni Nani?
 
Wewe sio Mpenzi wa Football ni Shabiki Wa Football, ukiwa Mpenzi wa Football Utajua Banda ni Nani?
banda ni mchezaji wa kawaida sana sio mchezaji wa kumtegemea sana. uchezaji wake hana tofauti na kihimbwa wa mtibwa sugar au awesu
 
Sawa.
Kwanini unasema Malawi"awajafikisha pasi hamsini aibu"aibu kivipi wakati mpaka hapo walipofikia ni hatua kubwa?

Kuingia robo fainali Afcon sio hatua ndogo ndugu.!
Na lile goli la Malawi kuna uwezekano likawa goli bora la mashindano.
 
Katika kitu ambacho kilionyesha viongozi wa Simba kwenye usajili ni weupe ni kusajili watoto wengi ambao wao waliamini Simba itawasubiri mbaka wang'are.
Hakuna Klabu kubwa Duniani yenye presha ya matokeo inayo msubiri mchezaji apewe muda awe nyota. Klabu kubwa zinacho itaji ni matokeo, Klabu kubwa hazijali umri wa mchezaji zaidi ya Matokeo Bora.
Mambo ya kukuza vipaji zina achiwa Klabu ndogo na za wastani kwakua hazina presha ya matokeo.
mbumbumbu hawalijui hili kabisa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Malawi hawakufikisha hata pasi 50 aibu.
Timu yako ya Taifa ilipiga pasi ngapi Afcon? Yaani litimu lako la Taifa limebaki kushabikia tu national teams zingine halafu we shangazi unaanza kuibeza national team nyingine iliyojitahidi kufika pale ambapo giant Ghana hakufika.Sikufahamu ila kwa wivu huu hutakosa kuwa KE wewe.
 
Yupo slow sana, back pass nyingi labda ball control anajitahidi ila kiufupi hatishi yani hafiki hata kwa Tepsi Evans (19) au Denis nkane.
Ili nililisema humu kilichotokea watu wakaanza nifuata Inbox na Matusi ya Mama.

[emoji23][emoji23]
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom