Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
- Kutoka_Mahakama_Kisutu   Kesi ya jinai ya nayowakabili Halima Mdee na wenzake 2 ( 388 X 640 ).jpg


Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya
 
Siasa zetu zinamaYuda wenye maupuuzi mengi,watu wanajali pesa namaisha yao sio nchi kuendelea. Huyu mdee ndiye yule aliyegoma kusalimiana na katibu mkuu wa chadema aliyetimkia ccm ndugu mashinji... Leo nayeye anatengwa kwa usaliti
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala.

Kama walikuwa wanatetewa in lieau of their CHADEMA membership, na walipata matatizo wakiwa kazini CHADEMA na wanafadhiliwa gharama za uwakili na chama basi wangesema CHADEMA imeondoa ufadhili wake kwa watuhumiwa.

Ili kusudi Kibatala asimomonyoe hadhi na misingi ya uwakili kwa kuachia kazi mid stream.

Kuna somo la mwaka wa pili linaitwa legal ethics, linakataza mambo kama haya, lakini Tanzania hakuna anayeheshimu hadhi ya profession.
 
Kwa jinsi walivyozichanga karata zao, watashinda anyhow. Ama kesi kukosa mashiko. Kama Nusrat tuu...
 
Back
Top Bottom