Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala.
Kama walikuwa wanatetewa in lieau of their CHADEMA membership, na walipata matatizo wakiwa kazini CHADEMA na wanafadhiliwa gharama za uwakili na chama basi wangesema CHADEMA imeondoa ufadhili wake kwa watuhumiwa.
Ili kusudi Kibatala asimomonyoe hadhi na misingi ya uwakili kwa kuachia kazi mid stream.
Kuna somo la mwaka wa pili linaitwa legal ethics, linakataza mambo kama haya, lakini Tanzania hakuna anayeheshimu hadhi ya profession.