Peter Madeleka awaburuta Mahakamani Jaji Biswalo Mganga na Kamishina wa uhamiaji Anna Makakala

Peter Madeleka awaburuta Mahakamani Jaji Biswalo Mganga na Kamishina wa uhamiaji Anna Makakala

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1702400866683.png

Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika

HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023

1702400826886.jpeg

Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama yakataa kuwaita Jaji Biswalo na Kamishina Anna Makakala
 
madeleka kuna uwezekano mkubwa ana shida ya afya ya akili. msaidieni mlio karibu naye. kwahiyo anategemea kumshitaki mh Jaji mbele ya Hakimu? na kesi yake hiyo si nilisikia kwamba alikiri yeye mwenyewe kwa plea bargaining?
Wewe ndiye huna akili..

Nani kakuambia kuwa mtu mwenye cheo cha ujaji hawezi kufanya makosa (crime) na kushitakiwa?

Kwa taarifa yako hata Rais kwa jina lake anaweza kusimama mbele ya hakimu wa mahakama ya Mwanzo kujibu tuhuma au mashitaka dhidi yake..!

Hapa kashitakiwa mtu anayeitwa Biswalo Mganga. Hapa hajakijashitakiwa cheo chake Cha ujaji..!!
 
Trump anaburutwa mahakamani kila kukicha, nchi zinazojielewa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiye huna akili..

Nani kakuambia kuwa mtu mwenye cheo cha ujaji hawezi kufanya makosa (crime) na kushitakiwa?

Kwa taarifa yako hata Rais kwa jina lake anaweza kusimama mbele ya hakimu wa mahakama ya Mwanzo kujibu tuhuma au mashitaka dhidi yake..!

Hapa kashitakiwa mtu anayeitwa Biswalo Mganga. Hapa hajakijashitakiwa cheo chake Cha ujaji..!!
wewe na madeleka akili zenu zipo sawa tu. wala siwezi kubishana na wewe.
 
madeleka kuna uwezekano mkubwa ana shida ya afya ya akili. msaidieni mlio karibu naye. kwahiyo anategemea kumshitaki mh Jaji mbele ya Hakimu? na kesi yake hiyo si nilisikia kwamba alikiri yeye mwenyewe kwa plea bargaining?

Madeleka anajitambua sana. Tungekuwa na akina Madeleka japo 100 tu, baadhi ya ujinga wa watawala ungeisha au kupungua.
 
Kwahiyo ww ni mwanasheria?.
Ngoja nikusaidie kitu manake upo gizani wala siwezi kukutukana kama wewe ulivyotukana. Madeleka ameshitakiwa Mahakamani, ameandika barua kwenda kwa DPP kuomba kukiri kosa ili alipe hizo 2m, DPP amekubali, madeleka anakiri kosa then analipa hizo pesa na anatoka nje. anakaa halafu anakuja kufungua kesi dhidi ya DPP aliyekuwa anafanya kazi kwa niaba ya Jamhuri, na anamshitaki in person, kwa kipi? wakati yeye mwenyewe alikiri kosa na kutia saini kwamba ni kweli alikosea? hapo kuna kesi kweli? tumemshauri sana lakini haelewi ila anataka kupata kiki kwa watu kama wewe. unajua kitu kinaitwa plea bargaining? au wewe ndio wale taborarasa fulani wa mtaani huko.
 
Good move.
Heshima lazima iwepo sio watu kujiona hii nchi ni mali ya mama zao.!!
kwahiyo unategemea hapo kuna mtu ataenda kumkamata Mganga J, au kuna Hakimu atatoa warrant ya kumkamata Mganga J? kweli? au mnajifurahisha tu.
 
Back
Top Bottom