Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mnafungwa kama kuku ndio, sababu mojawapo ni kwamba mnachukua wanasheria wa mfukoni kama madeleka. hivi unafikiri wanasheria bora kama Tundu Lisu na kibatala haya mambo hawayaoni? kwanini hawakufungua kesi? kwasababu hawataki kuonekana busy bodies! Mwanasheria halisi ana qualities zake ambazo hata ukiwa Mahakamani Mahakama na wasikilizaji wataona umeleta hoja ya msingi. sasa huyu dogo hata tukimshauri huwa anatukana na hataki kushauriwa, ndio maana umaarufu wake ni wa twitter na whatsapp, ila Mahakamani anashindwa kila kesi.Tunafungwa kama Kuku huku mafisadi na wezi wana neeemeka.
Is that what you mean mr presenter?