Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Acha uwoga wewe....Huyu jamaa yuko Moto sana soon watamla kichwa
Kiki unawaza wewe chawa mwenzako anawaza nchi kua na utawala wa sheria na ni haki yake kama anaona kuna kitu katendewa isivyo haki. Mahakama ndiyo itakayotafsiri anatafuta haki au kiki.Jamaa anaoenda kiki za kipuuzi sana
USSR
Wewe ndiye huna akili..madeleka kuna uwezekano mkubwa ana shida ya afya ya akili. msaidieni mlio karibu naye. kwahiyo anategemea kumshitaki mh Jaji mbele ya Hakimu? na kesi yake hiyo si nilisikia kwamba alikiri yeye mwenyewe kwa plea bargaining?
But massage sendedWastage of time
Yule mhindi alisemaje kuhusu mahakama zetu vile? Naomba kukumbushwa
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
"sent"But massage sended
Trump anaburutwa mahakamani kila kukicha, nchi zinazojielewa.Wewe ndiye huna akili..
Nani kakuambia kuwa mtu mwenye cheo cha ujaji hawezi kufanya makosa (crime) na kushitakiwa?
Kwa taarifa yako hata Rais kwa jina lake anaweza kusimama mbele ya hakimu wa mahakama ya Mwanzo kujibu tuhuma au mashitaka dhidi yake..!
Hapa kashitakiwa mtu anayeitwa Biswalo Mganga. Hapa hajakijashitakiwa cheo chake Cha ujaji..!!
wewe na madeleka akili zenu zipo sawa tu. wala siwezi kubishana na wewe.Wewe ndiye huna akili..
Nani kakuambia kuwa mtu mwenye cheo cha ujaji hawezi kufanya makosa (crime) na kushitakiwa?
Kwa taarifa yako hata Rais kwa jina lake anaweza kusimama mbele ya hakimu wa mahakama ya Mwanzo kujibu tuhuma au mashitaka dhidi yake..!
Hapa kashitakiwa mtu anayeitwa Biswalo Mganga. Hapa hajakijashitakiwa cheo chake Cha ujaji..!!
madeleka kuna uwezekano mkubwa ana shida ya afya ya akili. msaidieni mlio karibu naye. kwahiyo anategemea kumshitaki mh Jaji mbele ya Hakimu? na kesi yake hiyo si nilisikia kwamba alikiri yeye mwenyewe kwa plea bargaining?
Tanganyika hii ya maagizo kutoka juu itafanya ionekane ni maigizo tu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
Ngoja nikusaidie kitu manake upo gizani wala siwezi kukutukana kama wewe ulivyotukana. Madeleka ameshitakiwa Mahakamani, ameandika barua kwenda kwa DPP kuomba kukiri kosa ili alipe hizo 2m, DPP amekubali, madeleka anakiri kosa then analipa hizo pesa na anatoka nje. anakaa halafu anakuja kufungua kesi dhidi ya DPP aliyekuwa anafanya kazi kwa niaba ya Jamhuri, na anamshitaki in person, kwa kipi? wakati yeye mwenyewe alikiri kosa na kutia saini kwamba ni kweli alikosea? hapo kuna kesi kweli? tumemshauri sana lakini haelewi ila anataka kupata kiki kwa watu kama wewe. unajua kitu kinaitwa plea bargaining? au wewe ndio wale taborarasa fulani wa mtaani huko.Kwahiyo ww ni mwanasheria?.
Nadhani ni Rostam,si ndio?Yule mhindi alisemaje kuhusu mahakama zetu vile? Naomba kukumbushwa
kwahiyo unategemea hapo kuna mtu ataenda kumkamata Mganga J, au kuna Hakimu atatoa warrant ya kumkamata Mganga J? kweli? au mnajifurahisha tu.Good move.
Heshima lazima iwepo sio watu kujiona hii nchi ni mali ya mama zao.!!