macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Safi sana.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
Hapana hii kesi itajibu maswali mengi sana acha tuone mwisho wake itachimbua hadi hela zilikuwa zinaenda wapi maana cag alionyesha kuna shaka kwenye mfumo mzima wa plea bargaining na vile vile itaweka records sawa kwa maamuzi yoyote yatakayofikia siyo kiki ila ni shule wote tutapata kujifunza espeally wadau wa sheriaJamaa anaoenda kiki za kipuuzi sana
USSR
Na wewe unajua? Mbona huchambui?sasa kwa hivyo ulivyoongea tu umeonyesha huna uelewa wa sheria, hakuna mwanasheria anaongea kama wewe. hujui kitu.
nichambue nini sasa ndugu, wakati mchakato wa s.128 na 129 ya CPA ukiisha, atatakiwa kuwepo prosecutor, anaweza kuwa private prosecutor au hata public. hakimu hawezi kuwa prosecutor mwenyewe. na kesi yeyote ikifunguliwa, iwe ya private au public prosecution, DPP anaweza kuvamia muda wowote na kutoa nolle prosequi bila kuhitajika kutoa sababu yeyote ya kufanya hivyo, atakwambia tu ni kwa maslahi ya uma basi. sasa hapo kuna uhai wa kesi kweli?Na wewe unajua? Mbona huchambui?
Sio wa kwanza Tanzania hii. Muda utamtupa na ataiacha CCM na Serikali yake wakiendelea kuitawala nchi hii na kuwaletea Maendeleo Watanzania!Huyu jamaa yuko Moto sana soon watamla kichwa
To keep the Record Right!
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
Kwani Si tunakubaliana hakuna aliye juu ya Sheria kwa mujibu w Katiba ya Tanzania?Huyu jamaa yuko Moto sana soon watamla kichwa
Kwani Mkuu Sheria inasema Jaji hawezi kutenda Kosa au Jinai?madeleka kuna uwezekano mkubwa ana shida ya afya ya akili. msaidieni mlio karibu naye. kwahiyo anategemea kumshitaki mh Jaji mbele ya Hakimu? na kesi yake hiyo si nilisikia kwamba alikiri yeye mwenyewe kwa plea bargaining?
Hi ndio akili sasa.Tumasubirii sarakasiiii......pia tujifunze kitu kipyaa kwenye jinai na sheria za nchin na katiba
SahihiKiki unawaza wewe chawa mwenzako anawaza nchi kua na utawala wa sheria.na ni haki yake kama anaona kuna kitu katendewa isivyo haki.mahakama ndiyo itakayotafsiri anatafuta haki au kiki.
Hapa Chawa hawataelewa na watasanuka mizuka
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
Kile kitu Mganga na hao wote walichofanya, walikifanya in the course of their duties, sio kama wao binafsi, DPP huwa hashitaki mtu kibinafsi, ni mwakilishi wa Jamhuri, pale anasimama sio kama yeye binafsi bali ni jamhuri, hivyo Madeleka alishtakiwa na jamhuri, hakushitakiwa na hao. na alishtakiwa baadaya huyo DPP kupelekewa jalada la ushahidi na wapelelezi. mbona hajawaweka wapelelezi? dpp huwa haamki tu na kushtaki mtu, basis yake ni ushahidi unaoletwa na wapelelezi.Kwani Mkuu Sheria inasema Jaji hawezi kutenda Kosa au Jinai?
Au kuna mahali sheria za Nchi zinataja kuwa Jaji au Hakimu kamwe hatotenda kosa lolotw la jinai hata kama akiua au akiiba?
Mkuu tuna historia mbaya wa watetezi kama hawa wa haki za watu wanapotezwa kwa makusudiKwani Si tunakubaliana hakuna aliye juu ya Sheria kwa mujibu w Katoba ya Tanzania?
Sasa kwanini mnawaza Kula vichwa vya binadamu wenzenu??
Ni madaraka tu au kuna kingine mkuu?
Ujumbe umefika"sent"
Safi sana
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
Wajinga tunashukuru ufafanuzi ingawa umemalizia na matusi.nichambue nini sasa ndugu, wakati mchakato wa s.128 na 129 ya CPA ukiisha, atatakiwa kuwepo prosecutor, anaweza kuwa private prosecutor au hata public. hakimu hawezi kuwa prosecutor mwenyewe. na kesi yeyote ikifunguliwa, iwe ya private au public prosecution, DPP anaweza kuvamia muda wowote na kutoa nolle prosequi bila kuhitajika kutoa sababu yeyote ya kufanya hivyo, atakwambia tu ni kwa maslahi ya uma basi. sasa hapo kuna uhai wa kesi kweli?
na mchakato wa kumwondolea Mganga J hadhi ya kuwa jaji hadi awe mtu wa kawaida umweke lock up au asimame kizimbani, sio wa kitoto na huwa haupo kwenye mambo kama aliyolet amadeleka. usifikiri pale alipo Mganga utaenda na kumkamata kama utakavyokamatwa wewe ukifanya kosa, lazima tume iundwe na ipendekeze avuliwe ujaji kwanza awe mtu wa kawaida.
zaidi ya yote, hayo aliyoyaweka kwenye complaint madeleka, yeye mwenyewe alikiri kwenye plea bagarning na kusaini kwamba ni kweli alikosea, na akalipa fungu la 2m. sasa utakuja leo kweli usema mganga na hao wenzake walikuwa namakosa? yepi sasa? kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu. NImeamini watanzania wengi sana wajinga mno kwenye sheria ndio maana huwa mnafungwa kama kuku.
Katika Taaluma ya Sheria, unafungua kesi ngumu anbayo itakutangaza kibiashara ili kuvuta wateja wa kesi za kawaida. Hata ukishindwa na jamhuri lakini unapata faida ya kujitangaza na kufahamika kwa wadau
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
View attachment 2840791
Kwanini wewe uko upande wa wapotezaji?Mkuu tuna historia mbaya wa watetezi kama hawa wa haki za watu wanapotezwa kwa makusudi
Tunafungwa kama Kuku huku mafisadi na wezi wana neeemeka.nichambue nini sasa ndugu, wakati mchakato wa s.128 na 129 ya CPA ukiisha, atatakiwa kuwepo prosecutor, anaweza kuwa private prosecutor au hata public. hakimu hawezi kuwa prosecutor mwenyewe. na kesi yeyote ikifunguliwa, iwe ya private au public prosecution, DPP anaweza kuvamia muda wowote na kutoa nolle prosequi bila kuhitajika kutoa sababu yeyote ya kufanya hivyo, atakwambia tu ni kwa maslahi ya uma basi. sasa hapo kuna uhai wa kesi kweli?
na mchakato wa kumwondolea Mganga J hadhi ya kuwa jaji hadi awe mtu wa kawaida umweke lock up au asimame kizimbani, sio wa kitoto na huwa haupo kwenye mambo kama aliyolet amadeleka. usifikiri pale alipo Mganga utaenda na kumkamata kama utakavyokamatwa wewe ukifanya kosa, lazima tume iundwe na ipendekeze avuliwe ujaji kwanza awe mtu wa kawaida.
zaidi ya yote, hayo aliyoyaweka kwenye complaint madeleka, yeye mwenyewe alikiri kwenye plea bagarning na kusaini kwamba ni kweli alikosea, na akalipa fungu la 2m. sasa utakuja leo kweli usema mganga na hao wenzake walikuwa namakosa? yepi sasa? kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu. NImeamini watanzania wengi sana wajinga mno kwenye sheria ndio maana huwa mnafungwa kama kuku.
Wewe huna mtu mtu mliye naye sawa kiakili?wewe na madeleka akili zenu zipo sawa tu. wala siwezi kubishana na wewe.