Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mnafungwa kama kuku ndio, sababu mojawapo ni kwamba mnachukua wanasheria wa mfukoni kama madeleka. hivi unafikiri wanasheria bora kama Tundu Lisu na kibatala haya mambo hawayaoni? kwanini hawakufungua kesi? kwasababu hawataki kuonekana busy bodies! Mwanasheria halisi ana qualities zake ambazo hata ukiwa Mahakamani Mahakama na wasikilizaji wataona umeleta hoja ya msingi. sasa huyu dogo hata tukimshauri huwa anatukana na hataki kushauriwa, ndio maana umaarufu wake ni wa twitter na whatsapp, ila Mahakamani anashindwa kila kesi.Tunafungwa kama Kuku huku mafisadi na wezi wana neeemeka.
Is that what you mean mr presenter?
Hiki Chama kimewafanya muone wanaodai haki zào kama wapenda Kiki. Siku Makonda akimtaka mkeo muachie tu ukisema utakuwa unatafuta Kiki.Jamaa anaoenda kiki za kipuuzi sana
USSR
Umejibu kama upo nchi za nje zilizoendelea . Ila. Kama upo bongo huwezi kujibu hayaWewe ndiye huna akili..
Nani kakuambia kuwa mtu mwenye cheo cha ujaji hawezi kufanya makosa (crime) na kushitakiwa?
Kwa taarifa yako hata Rais kwa jina lake anaweza kusimama mbele ya hakimu wa mahakama ya Mwanzo kujibu tuhuma au mashitaka dhidi yake..!
Hapa kashitakiwa mtu anayeitwa Biswalo Mganga. Hapa hajakijashitakiwa cheo chake Cha ujaji..!!
Sent and FailedBut massage sended
we ni juha kwelikama hujui hata utofauti wa Jaji na Hakimu, basi kaa pembeni uwe ndugu mtazamaji ujifunze kwa wanaojadili hapa. ni sawa na kusema hujui utofauti kati ya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya.
judge na hakimu ni kitu kimojakama hujui hata utofauti wa Jaji na Hakimu, basi kaa pembeni uwe ndugu mtazamaji ujifunze kwa wanaojadili hapa. ni sawa na kusema hujui utofauti kati ya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya.
hahaha, nashangaa mbuzi anamtukana binadamu. kwahiyo Jaji na Hakimu ni kitu kimoja, Mkuu wa MKoa na Mkuu wa wilaya ni kitu kimoja?judge na hakimu ni kitu kimoja
tofauti ni lugha mbuzi weweeeeee
Sure. Kuna kesi ya ilifunguliwa zamani kabla ya ile ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya (kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta). Kesi ya Uhuru Kinyatta ilienda ndani ya wiki moja, lakini kuna kesi ambayo ilifunguliwa nyuma bado haijulikani itaisha lini. Sijui shida ni ushahidi haujapatikana au ni nini, sijui?Mpaka siku ikipatikana Katiba Mpya itakayotoa uhuru wa watendaji wa hii mihimili kisheria, ndipo tutaanza kuona matunda ya hizi kesi zinazofunguliwa, lakini kwa sasa tunafungua kesi halafu bado tunasubiri fadhila ya mtawala kwenye maamuzi ya kesi husika.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Na usibishane nami kabisa kwa sababu kama hii ndiyo akili yako unayotumia kufikiri na kuchambua mambo na kufanya judgement, basi uko chini ya kiwango sana. Hufai kujadiliana na mimi...!wewe na madeleka akili zenu zipo sawa tu. wala siwezi kubishana na wewe.