Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Weka ushahidiMadereka ni moja kati ya majitu ya hovyo hovyo sana, ndio maana akina Kibatala wamejitenga naye, hajawahi kushinda hata kesi moja.
Sasa hapo umejibu hoja? badala yake Sasa wewe ndio wa hovyo.Madereka ni moja kati ya majitu ya hovyo hovyo sana, ndio maana akina Kibatala wamejitenga naye, hajawahi kushinda hata kesi moja.
Huyu babu alipandaje mpk akawa DPP?Nataka kumwambia DPP aache KUPOTOSHA UMMA. Hakuna SHERIA yoyote inayomzuia WAKILI kuweka NYARAKA kwenye MTANDAO. Kama DPP anataka kuwa MWANAHARAKATI wa KUMTETEA ndugu PAULINE GEKUL, basi, AACHE Ofisi ya Umma na AJE TUPAMBANE JUKWAANI.
Ni muhimu JAMII ifahamu kwamba, HASHIM ALLY hakuridhika na kitendo cha DPP kuiondoa MAHAKAMANI kesi ya JINAI dhidi ya PAULINE GEKUL. Hivyo AMEKATA RUFAA. Kama DPP anadhani alikuwa SAHIHI kufanya alivyofanya, basi TUKUTANE MAHAKAMANI
Alichokisema DPP
View attachment 2862353
Pia ni mshirikina haswaHuyu Gekul shida iko kubwa hata kama ......na bus hayataingia hotel yake amenajisiii
Vitamgeukia tu....hakuna shirki milele....ipo siku itamgeukia....sasa watu hawaendi kuhotel chake hakuna kupeleka ma bus hapo hata kama amefukia kichwa cha mtu kwa uchawi hatuendiiiiPia ni mshirikina haswa
Madereka ni moja kati ya majitu ya hovyo hovyo sana, ndio maana akina Kibatala wamejitenga naye, hajawahi kushinda hata kesi moja.
Bado haujasema na utasema Yani Bado hujasemaHawa mapoyoyo ya sheria kama Madeleka. Mwabukusi: et al wamepata ng’ombe wa maziwa kupitia ‘Sauti ya watanzania’ and they aim to fleece them as they can.
Kisheria kama serikali kama serikali aina shida ya kumshitaki ya Gekul.
Madeleka angeweza kufungua civil case dhidi ya Gekul kutaka kuona haki ya dogo inapatilana.
Hawa watu msiangaike nao hasa Madeleka, Mwakabusi au Dr Slaa; hizi jitihada zao uchwara ni kwa mantiki ya kukomba michango ya mapoyoyo ya sauti ya watanzania (a bunch of confused diaspora) lakini hao watu wanaowachangia ain’t shit.
Madeleka. Mwakabusi tells you hata huko ulaya kumejaa mitanzania mijinga tu.
Halafu huko najiamini hakuna fala wa kwenda toe to with toe with.
A bunch of stupid ambao Madeleka, Lissu na Mwabukusi wanawalia hela; ndio maana wanatafuta matukio.
Stupid sauti ya watanzania
Like seriously kama Madeleka ana uchungu wa huyo dogo kupata haki ni kipi kinachomzuia kutafuta ushahidi na kufungua civil case zidi ya Gekul.
Haya maombi ya kawaida sana kwenye administrative laws
Hiyo ni mojawapo ya kesi ambayo madeleka aliishinda serikali
Ana guest yake karibu na stand mpya chini nilienda pale kulala eti chumba elfu 70 hakuna hata Fance pakijinga kweliVitamgeukia tu....hakuna shirki milele....ipo siku itamgeukia....sasa watu hawaendi kuhotel chake hakuna kupeleka ma bus hapo hata kama amefukia kichwa cha mtu kwa uchawi hatuendiiii
Hawa mapoyoyo ya sheria kama Madeleka. Mwabukusi: et al wamepata ng’ombe wa maziwa kupitia ‘Sauti ya watanzania’ and they aim to fleece them as they can.