Peter Madeleka: DPP acha kupotosha umma, hakuna sheria inayomzuia wakili kuweka nyaraka mitandaoni

Peter Madeleka: DPP acha kupotosha umma, hakuna sheria inayomzuia wakili kuweka nyaraka mitandaoni

Serikali aina nia ya kufungua kitu kinacho mzuia Madeleka kufungua civil case dhidi ya Gekul.

Ni ujinga kwa serikali kupoteza muda na wapumbavu ya kikundi cha sauti ya watanzania ni kikundi cha bored diaspora ujinga tupu wanaochangishana kama kanisa la Mwamposa.

Kama serikali haina Nia si imuache madeleka aendelee. Haina Nia na bado inamuingilia madeleka kwenye kusudi lake la kumshtaki Gekul. Very stupid
 
Kama serikali haina Nia si imuache madeleka aendelee. Haina Nia na bado inamuingilia madeleka kwenye kusudi lake la kumshtaki Gekul. Very stupid
Eti hana nia, Madeleka na mshitaki wana nia yeye anafuta kesi kama vile kaifungua mwenyewe
 
Madereka ni moja kati ya majitu ya hovyo hovyo sana, ndio maana akina Kibatala wamejitenga naye, hajawahi kushinda hata kesi moja.
Kibatala amewahi kushinda kesi gani, yenye maslahi ya kisiasa?

Wakati kundi la Mbowe, Msigwa, Heche, Salum Mwalimu wanacungwa ni Nani alikuwa WAKILI?
 
Kibatala amewahi kushinda kesi gani, yenye maslahi ya kisiasa?

Wakati kundi la Mbowe, Msigwa, Heche, Salum Mwalimu wanacungwa ni Nani alikuwa WAKILI?
Kwa hizi mahakama za mchongo alizozisema rostam azizi wanashindaje
Hakimu au jaji anaingia na kimemo unashindaje
 
Kwa hizi mahakama za mchongo alizozisema rostam azizi wanashindaje
Hakimu au jaji anaingia na kimemo unashindaje
Hilo swali unaniuliza Mimi au huyo msukule anayesema Madeleka hashindi kesi?
 
Mie nilifikiri una hoja ya msingi!?, kumbe unaendeshwa na chuki za kipumbavu, sasa habari ya hotel ya gekul imefikaje tena humu!?.hoja iliyomo humu ni kuhusu kesi.watu mna akili za kimalaya malaya.
 
Back
Top Bottom