Serikali aina nia ya kufungua kitu kinacho mzuia Madeleka kufungua civil case dhidi ya Gekul.
Ni ujinga kwa serikali kupoteza muda na wapumbavu ya kikundi cha sauti ya watanzania ni kikundi cha bored diaspora ujinga tupu wanaochangishana kama kanisa la Mwamposa.
Eti hana nia, Madeleka na mshitaki wana nia yeye anafuta kesi kama vile kaifungua mwenyeweKama serikali haina Nia si imuache madeleka aendelee. Haina Nia na bado inamuingilia madeleka kwenye kusudi lake la kumshtaki Gekul. Very stupid
Kibatala amewahi kushinda kesi gani, yenye maslahi ya kisiasa?Madereka ni moja kati ya majitu ya hovyo hovyo sana, ndio maana akina Kibatala wamejitenga naye, hajawahi kushinda hata kesi moja.
Kwa hizi mahakama za mchongo alizozisema rostam azizi wanashindajeKibatala amewahi kushinda kesi gani, yenye maslahi ya kisiasa?
Wakati kundi la Mbowe, Msigwa, Heche, Salum Mwalimu wanacungwa ni Nani alikuwa WAKILI?
Hapo sasaKibatala amewahi kushinda kesi gani, yenye maslahi ya kisiasa?
Wakati kundi la Mbowe, Msigwa, Heche, Salum Mwalimu wanacungwa ni Nani alikuwa WAKILI?
Sasa hivi, Kuna kesi ya kina Mdee inampelekesha.Hapo sasa
Hilo swali unaniuliza Mimi au huyo msukule anayesema Madeleka hashindi kesi?Kwa hizi mahakama za mchongo alizozisema rostam azizi wanashindaje
Hakimu au jaji anaingia na kimemo unashindaje