Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Siasa iko wapi hapo?Vitu vingine si vya kuingiza siasa
Falasi huyo anawaza ujingaSiasa iko wapi hapo?
Angefanyiwa dada yako ungesema hivyo?Anatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Sina hakika km una dada ila angekua kafanyiwa dada ako ungesema Ivo?Vitu vingine si vya kuingiza siasa
Teknolojia inawaponza wapumbavu wengi. Ngoja waonje joto la jiwe!Madeleka NIPO NA WEWE.
Kama kufanya wangefanya huko kwenye kificho yakaisha huko huko.
Ila kurekodi NI UPUMBAVU
Kabisa.pia ushamba mwingiTeknolojia inawaponza wapumbavu wengi. Ngoja waonje joto la jiwe!
Hawa vijana lazima wapatikaneAnatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Wamerekodi wenyewe na kusambaza wenyewe. Acha wanyee debe, bloodfools!Kabisa.pia ushamba mwingi
Wangefanya huko walikofanya wangemaliza wangekaa kimya.wala hakuna mtu ambaye angewa jaji.maana tungekuwa hatujui.ila kurekodi ni UDHALILISHAJI.
hata kufanya bila kurekodi bado ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sanaKabisa.pia ushamba mwingi
Wangefanya huko walikofanya wangemaliza wangekaa kimya.wala hakuna mtu ambaye angewa jaji.maana tungekuwa hatujui.ila kurekodi ni UDHALILISHAJI.
Naona jamaa anaitamani sana nafasi ya Mwakitalu ya U DPP! Sasa bila police kukamata na kufanya uchunguzi DPP atapata wapi watuhumiwa pamoja na ushahidi wa kupeleka huko Mahakamani bila kushirikiana na jeshi la Polisi!? Madeleka yeye aliee na mkurugenzi wa makosa ya jinai na wala si DPP!!Anatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Asikari anavunja Sheria kijinga hivo hajitambui uyoNaskia mmoja ni askari
Ndiomana ya kuitwa wakiri. Aliisomea sheria ili aweze kuisaidia jamii inapoonewa na kusimamia haki. Sasa ukisema anatafuta umaarufu hizo ni chuki binafsiAnatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****