Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Madeleka

Tusaidie na Swala lamkuu wa mkoa kufila bint wa chuo SAUTi au kulawitiwa kwake na mheshimiwa
 
Jamaa anapenda sana attention bila ufanisi. Issue ya akina dada poa imefikia wapi?
 
Kwa hili madekeka yupo sahihi
 
Sasa ulitaka viishie kuzungumzwa na kina kitenge zembwela
Acha watu wapush hatua zichukuliwe mkizuba hili jambo litapita,na huku kupigana mtungo na kfln itakuwa kawaida tu

Ova
Madeleka namkubali sana ila to be honest wenye nchi yao wanamchukulia kama mpinzani,na hawa jamaa katika kulinda chama chao uwa wanafanya llt,anaweza kumsaidia mhanga akiwa invisible,yule aliefanyiwa ukatili manyara serikali ilishaanza kutoa reaction kwa alieagiza ule ukatili,hadi ikafikia hatua akataka kutorokea kenya,ila alipoingia madeleka tu wenyewe wakaiua ile kesi kimya kimya tena ushahidi ulikuwepo,kikubwa hawawezi kutoa credit kwa mtu wa nje na chama chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…