Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Sasa wewe unataka kutuambia kuwa serikali iko radhi watu walatiwe ili tu kumkomoa Madeleka? Mbona unatetea vituko? Madeleka aliingilia baada ya kuona hakuna hatua zinazochokuliwa. Mbona unakuwa kama wewe ni mgeni Tanzania?
 
Basi Acha wazidi kutengeneza taifa la sodoma na gomorrah

Ova
 
MTU KABAKWA UNASEMA SIASA? SUBIRI ZAMU YAKO IKIFIKA KAMA UTASEMA SIASA.
Yule aliefanyiwa ukatili manyara ilikuaje kwani mkuu,haki ilipotezwa sababu tu ya siasa na mpaka leo mtuhumiwa yupo bungeni,madeleka anaweza kusaidia kimya kimya
 
Huyu jamaa ni mshamba na mnafiki sana yeye anataka kujiona Bora kuliko Dpp au Polisi yani anachukulia jambo hili kama faida kwake ,ajui kuwa polisi wetu wapi smart na awafanyi kazi kwa kukurupuka yeye ndo anajifanya ana uchungu sana
Ficha upumbavu wako unajifanya hao polisi unawajua peke yako au na wewe ni mmojawapo wa hao polisi? Matukio mangapi ya ajabu hao polisi walishayafanya na wanaendelea kuyafanya? au wewe sio raia wa Tanzania?
 
Sasa wewe unataka kutuambia kuwa serikali iko radhi watu walatiwe ili tu kumkomoa Madeleka? Mbona unatetea vituko? Madeleka aliingilia baada ya kuona hakuna hatua zinazochokuliwa. Mbona unakuwa kama wewe ni mgeni Tanzania?
 
Ikibidi afande atiwe ndani na mume wa afande amuoe huyo binti
 
Link haisadii. Serikali ilikuwa haina nia ya kumchukulia hatua. Aliambiwa hana mashtaka ya kujibu.
 
Anatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Wapuuzi kama wewe ndo wanasababisha watu wachache wanaendelea kuumia. Madereka ni mmoja tu kati ya wale waliopaza sauti angekuwa ndugu yako amefanyiwa hivo ungefurahi? Kwa nini huyo mwanamke asingewatuma hao wahuni wenzake wakamfire huyo mmewe? Kwani huyo binti ndo alimtongoza huyo mwanaume? Kwa nini asijiulize iweze mmewe atoke nje ya ndoa yake? Hao wapuuzi wenzako hakuna namna tena lazima wafungwe.
 
Wattakuwa wamehamia porini maana kila mtu ana hasira nao
Hiyo ndo itakua rahisi Sasa maana sio asili Yao kuishi huko kwani hawajazoea watajitokeza tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…