Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Sasahivi atakuwa mganga subirini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Waalekum Salaam.
Koma, mimi siyo shangazi yako.
Tazama video clip.Ni jambo la kheri ila kwa jinsi Pierre alivyo nachelea kuamini.
Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu.
Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
View attachment 3161929
Hapo ndipo unaona tofauti kati ya Uislamu na Ukristu. Wakristu wanasoma habari hii na kuichukulia "kawaida" tu. Mtu ameamua kivyake. Hakuna wa kumsumbua wala kumfanya cho chote. Lakini angekuwa Muislamu atangaze hivyo, kifo kingekuwa kinamhusu. Ndugu zake wangemkataa na Muislamu yo yote angekuwa na kibali kutoka kwenye dini hiyo kumuua. Ndiyo maana Waislamu wanaoingia Ukristu hubidi kuhama nchi kabisa kwenda kuishi kwingine kabisa ambapo kutakuwa na usalama.Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu.
Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
View attachment 3161929
Alivyo na kiu ya bia, yuko tayari hata kukana wazazi wake kwa ajili ya fedha. Umaskini kitu kibaya sanaPierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu.
Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
View attachment 3161929
Hujanielewa, video nimeitazama ila namaanisha nachelea kuamini kama atabaki katika Uislam na sio maigizo ya kutaka kuongelewa.Tazama vidwo clip.
Pierre ni mtu mwenye upendo wa hali ya juu, ndiyo maana akakubalika sana na mapungufu yake.
Na mwenye upendo wa dhati kwa watu huwa na imani ya hali ya juu.
Halafu serikali itatoa wapi kodi?!Ataacha pombe?
ni kweli bibie huyu anakishundu mashalaah! apewe maua yake bi kishundumambo unayopenda hayo bibi kishundu
Wakirudi tunawauaHawa wanaobadili dini huwa hawachelewi kurudi kwenye dini zao!
Hoja ya ndugu kuleta noma kwasababu mtu kabadili dini, huwa ni pande zote mkuuHapo ndipo unaona tofauti kati ya Uislamu na Ukristu. Wakristu wanasoma habari hii na kuichukulia "kawaida" tu. Mtu ameamua kivyake. Hakuna wa kumsumbua wala kumfanya cho chote. Lakini angekuwa Muislamu atangaze hivyo, kifo kingekuwa kinamhusu. Ndugu zake wangemkataa na Muislamu yo yote angekuwa na kibali kutoka kwenye dini hiyo kumuua. Ndiyo maana Waislamu wanaoingia Ukristu hubidi kuhama nchi kabisa kwenda kuishi kwingine kabisa ambapo kutakuwa na usalama.
Tatizo hauuelewi Uislam wala huelewi dini ni nini.Hapo ndipo unaona tofauti kati ya Uislamu na Ukristu. Wakristu wanasoma habari hii na kuichukulia "kawaida" tu. Mtu ameamua kivyake. Hakuna wa kumsumbua wala kumfanya cho chote. Lakini angekuwa Muislamu atangaze hivyo, kifo kingekuwa kinamhusu. Ndugu zake wangemkataa na Muislamu yo yote angekuwa na kibali kutoka kwenye dini hiyo kumuua. Ndiyo maana Waislamu wanaoingia Ukristu hubidi kuhama nchi kabisa kwenda kuishi kwingine kabisa ambapo kutakuwa na usalama.