Mtu kutoka kwenye ukristo (sio UKTISTU) kuja Kwenye uslamu lazima iwe habari kubwa, ukizingatia kama ni mtu ambae ana umaarufu lazima habari hiyo nayo iwe maarufu.
Mtu anatoka kwenye kiza anakuja kwenye nuru...mtu anatoka kwenye kundi la imani ambalo hawana mungu sahihi, hawana kitabu sahihi, hawana mitume sahihi, kila kitu ni FICTION, anakuja kwenye dini iliyonyooka haina kona kona, dini inayoendana na mahitajio yote ya mwanaadamu...utashangaza watu kama utasema hii haipaswi kuwa habari kubwa.
Weka chuki pembeni, tuliza akili yako vizuri, fanya ulinganifu wa uislamu na ukristo (sio ukristu) utagundua uislam ni full package na wewe unauhitaji saana kuliko hata uislamu unavyokuhitaji wewe.