Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

Sina uhakika baada ya kusilimu huyo Peirre Liquid ataacha pombe.

Wiki tatu zilizopita nilikutana naye hapo Uhasibu Mbagala akipiga zake beer kwenye hiyo pub maarufu ya Liquid Pub.

Mola amsaidie ailinde na kuitetetea imani yake, maana safari ya Pepo siyo rahisi kama tunavyofikiri
Aliacha pombe muda aliugua sana kipindi fulani

Ova
 
Hujanielewa, video nimeitazama ila namaanisha nachelea kuamini kama atabaki katika Uislam na sio maigizo ya kutaka kuongelewa.
Kaenda mpaka kwa kishki labda yuko serious 😄
Alikuwa tu kama msukule wa Jane yule wa Liquid bar,Acha amkimbieee 😄

Ova
 
Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu.

Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:

View attachment 3161929
Sura ya kilevi na sauti ya kilevi au unaonaje bi Faiza.
 
Pierre hapo kilichomvutia ni kamera tu, uraibu haujali umebatizwa kwa maji au umenyanyua kidole juu!
 
Back
Top Bottom