Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

Aliacha pombe muda aliugua sana kipindi fulani

Ova
 
Hujanielewa, video nimeitazama ila namaanisha nachelea kuamini kama atabaki katika Uislam na sio maigizo ya kutaka kuongelewa.
Kaenda mpaka kwa kishki labda yuko serious 😄
Alikuwa tu kama msukule wa Jane yule wa Liquid bar,Acha amkimbieee 😄

Ova
 
Aliacha pombe muda aliugua sana kipindi fulani

Ova
Kama ni hivyo amefanya vizuri kuacha pombe na kumrudia Mungu wake

Alikuwa anafakamia sana pombe enzi zake 🙌
 
Sura ya kilevi na sauti ya kilevi au unaonaje bi Faiza.
 
Pierre hapo kilichomvutia ni kamera tu, uraibu haujali umebatizwa kwa maji au umenyanyua kidole juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…