Mrombo ni aidha ni Mkatoliki au hana dini.Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu.
Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
View attachment 3161929
Na wewe umemuamini?tulimuona hapa Sanchoka akatuvalia hadi majuba ila leo karudi kwa speed ya 5G hata huyo ni suala la muda tu atarudisha mpira kwa Kipa imara JesusKaiona Nuru kutokea kizani.