much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kweli wanakubali kudate na maboya wanaacha mabaharia wenye akili timamuTatizo lao wanawakubalia washamba kuwala...mabaharia wakiwatongoza
Wanachomoa utasikia mara Huna muonekano,sijui Huna taaluma nk
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app