Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIAZ KINGINE HK HAPA JAMANIhiv unaoataje nguvu za kudiscus mwili wa mtu yan tumbo lake kunenepa anenepe yeye,ww ujifanye unauchungu san kuliko mke wake,au ndugu zake!???
Wachache sana WA aina hioStress pia hupelekea mtu kunenepa, hiyo sio solution
We ni mke wa msechu bila shakaukuda tu.. kwa maisha ya msechu unafkiri hajui madhara yake
angeweka puto? kuweka puto ni sh ngapi mnajua?
acheni maushauri mengiiii kwa mtu na maisha yake..
Yani asi enjoy maisha kisa ana Tumbo kubwa abaki asicheke,asichekeshe,asiishi maisha yake kisa Tumbo nyie wa wapi?
Watu wanakufa kwa kuishi na vihoro na misongi ya mawazo, kubali maisha uliyonayo kisha songa.mbele..
Nashangaa mtoa ushauri unaona kilema cha tumbo la msechu ila huoni kilema cha umaskini ulionao.. Umaskini ni mbaya kuliko lile tumbo
usipokua makini utakufa utamuacha mwenzako... Pambana utokomeze umaskini kwanza halafu utaona kama akili yako itawaza ya kina Peter Msechu.
kabisa lo
Kweli bongo dili.....Achukue mkopo,aoe mke mkorofi,anunue gari kuukuu,apande daladala atapungua mara nne ya hapo
Wewe niwakukuacha tu na less knowledge yakoJitahidi kufanya na kufuatilia yanayokuhusu katika shughuli za Maisha yako ya kila siku,,Ya Walimwengu na Ulimwengu ni mengi mnoo,,sidhani na sifikirii kama unaweza kuyamaliza Kamwe###DoYourselfAlways###
Vijana wangezingatia huu ushauri wako,tatizo ni wabishi sanaNje ya mada
Kitu nilichokuja kugundua..
Kijana (hasa mwanaume) ukianza kushika hela in your 20's, na ukakosa control hasa kwenye vyakula na mazoezi, ukafakamia mabia, manyama choma na makitimoto, by the time unagonga 30 -35 tayari una obesity. Usiposhtuka, ukifika 40 tayari una kisukari na presha, na watoto unakuta ndio kwaanza wako primary school! Na kama ulikua unacheza rafu hapo unakuta na ukimwi juu. Hapo ni kuanza ruti za hospitali, ni madawa mfululizo, hujakaa sawa figo zinafeli, ni mwendo wa dialysis kila wiki. Ukibahatika kugonga 50 uko hoi bin taabani. 😥 Hii naongea from experience.
AloohCaptain John Komba alikuwa mwili nyumba, shati lake unaweza kufunikia gari aina ya IST, Lemutus Tshirt yake ungeweza kutengenezea tent,