Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

Mtu mwenye akili timamu awezi kunenepa namna hii aiseee! Mtu mwenye unene wa hivi hata uwezo wa kufikiri unapungua sana
 
Alkaline levels mwilini hazina uhusiano mkuu. Kitambi kinatokana na uwiano mbovu wa calories au nishati IN na calories au nishati OUT. Simple as that. Unachokula nishati yake isizidi nishati unayotumia kwa siku. Kama nishati unayoweka mwilini ikizidi nishati unayohitaji kwa siku kulingana na mfumo wako wa maisha, basi mwili unageuza nishati ya ziada kuwa mafuta.
 
Kama Una akili timamu ungeelewa Kwanza Alkaline ni nini. Usikurupuke.
 
On other perspective watu kama wewe ndio tatizo tulilonalo kwenye jamii kuwa kichaka cha ujinga kwa kisingizio cha kuwaacha watu waishi maisha yao.

Unachezesha taya, na kuhangaisha vidole kuandika jambo ambalo hata wewe na kichwa chako ukija kulisoma miaka kadhaa baadae utakiri kuwa haukutumia akili timamu.

Nikwambie tu hakuna faida yoyote mtu kuwa overweight zaidi ya hasara na mateso uzeeni.

Wewe kama mwanajamii unatakiwa kulitambua hilo na kuwa mstari wa mbele kwenye kuwaambia wanajamii wenzako kuwa hili jambo sio sawa ila sio kuja hapa na hizi "woke" mentality za kutetea upumbavu kwa kisingizio cha "body shaming".
 
Okay.
Is the JF platform the right place to give advice to someone regarding their body maintenance.
How personal issues, you make it public?
 
[QUOTE="mdukuzi, post: 49960673, member: 194966
Captain John Komba alikuwa mwili nyumba, shati lake unaweza kufunikia gari aina ya IST, Lemutus Tshirt yake ungeweza kutengenezea tent,



[/QUOTE]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umenikumbusha mpendwa wetu shati lake lililokuwa linafunika Vitz....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…