Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Mwenye ulimwengu wa roho nakuona wewe ni bonge nyanya


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hah kumbe umemsoma, hiyo statement yake ni defense machanism yake tu against mtoa mada


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuvuta bangi huwa inasaidia sana kupunguza unene..




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nyama haina shida kama wanga,nyama ukila kilo nzima ukienda chooni unainya kilo kama kawaida,ndiyo maana hata wafanya mazoezi sana hasa wale wabeba vitu vizito hata wacheza mpira wa miguu wanashauriwa wale nyama kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyama Ni protein na protein ikizidi katika mwili inabadilishwa kuwa glycogen through process inaitwa guconeogenesis ambayo inafanyika kwenye maini then inahifadhiwa , so nyama nyngi sio nzurii unaongeza uzito kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom