Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

😄😅😃😂😁😃😄😅🙄😀😐🤔🤔
 
Hivi kuvaa viatu bila soksi maana yake nini!? Watu wa fasheni njooni huku mjibu.
 
HV Stamina ana Kitambi? Mabeste je? King Kuba, A. Why?
 
HV Stamina ana Kitambi? Mabeste je? King Kuba, A. Why?
Nadhan watu wanasahau hlo...unashangaa huyo wanaemsema ana kitambi mwanamke wake ndo mwaminifu 100%...kuliko hao wenye siksi paki..mapenz ni kitu kingne mbona davido chioma wake wamemgonga,mond mwenyewe kipindi yupo na zali trainer wa gym alimgongea...so hakuna cha kitambi wala siksi paki wala cha kuwa na hela au usiwe nazo...unaweza ukawa na siks pack+una hela lkn mke wanakugongea wajanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom