Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Mwenye ulimwengu wa roho nakuona wewe ni bonge nyanya


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hah kumbe umemsoma, hiyo statement yake ni defense machanism yake tu against mtoa mada


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuvuta bangi huwa inasaidia sana kupunguza unene..




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyama Ni protein na protein ikizidi katika mwili inabadilishwa kuwa glycogen through process inaitwa guconeogenesis ambayo inafanyika kwenye maini then inahifadhiwa , so nyama nyngi sio nzurii unaongeza uzito kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…