Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Ala asili ya unene hata afanyeje atakua mnene tu ndo kaumbwa hivoo
Eti ndio kaumbwa hivyo uko serious kweli wewe kilicho juu ya uwezo wa binadamu ni urefu/kimo tu...unene na wwmbamba suala la kumua tu.
 
Huyu jamaa inabidi akajitolee jkt 6months. Kitambi kipungue njia nyingine haiwezekani.

Vibonge wanajipenda sana kwenye maswala ya misosi, halafu huwa wanawahi sikia njaa
Umenikimbusha rafiki yangu fulani simtaji aisee jamaa ukiwa nae kila baada ya nusu saa anakula. Kwenye gari ana Juice, soda ,korosho,karanga,maepo ,tambi mpaka namwambia mzee si uache kubeba mavyakula. Anasema asikia njaa muda wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa uraiani hawezi pungua anapenda sana kula kuliko hata mkee wake. Kuna interview moja aliwahi kusema alikuwa anaamka saa 6 usiku anaenda kufunua masufuria yenye kiporo cha wali maharage anakula just image mtu kama huyo afatilie mambo ya diet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah eti masufuria yenye viporo vya wali na maharage.
 
Wengine huwa ni maumbile/ugonjwa. Hujafa hujaumbika. Hakuna anayependa kuwa simtenki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwani ndivyo alivyokuwa hivyo au humjui Peter Msechu? huu unene ni wakula hovyo na kiwango kikubwa cha vyakula vya wanga na sukari,huyu bwana anakiita kisukari angali bado mdogo na matokeo yake atabaki kula kwa macho.
 
Back
Top Bottom