Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT kwenye Instagram.
“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”
“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”
si mzanzibar wana maneno ya shombooo balaa!mbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Mkuu ni mwanaume ndo kaandikaHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Haki ya mungu umeniwahi, nilikuwa nastaajabu kuwa mtoto wa kiume anaandika 'babu' na 'pyuuuuuuuu'. Kwa mtindo huu ni halali tu hawa kina dada wajimithilishe na wanaume.Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Mi pia mzanzibari lakini hata siku moja siwezi kuandika maneno hayo. Duh nishaingiwa na shaka juu ya uanaume wa huyo A.T maana hata Shilole haingii ndani.si mzanzibar wana maneno ya shombooo balaa!
mwanaume kama huyu humo ndani mnashindana michambo tuu!
Mimi mwenyewe nilitaka kuuliza hili ,Wanaume wa Daslam kazi kweli kweliHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Muimba taarabu na mduaraNi nani huyu AT
we umeelimika na una staha Ila wazenji maneno ya shombo asili yaoMi pia mzanzibari lakini hata siku moja siwezi kuandika maneno hayo. Duh nishaingiwa na shaka juu ya uanaume wa huyo A.T maana hata Shilole haingii ndani.
Sio kwa mtindo wa kumuita mwanaume mwenzio 'babu' maana hapa napata picha ingekuwa wanajibizana ana kwa ana na vidole pia vingekuwa juu ama mikono kiunoni kama watoto wa kike. Huu si uzenji tena bali walakini wa kijinsia.we umeelimika na una staha Ila wazenji maneno ya shombo asili yao