Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Sasa jamani cha kushangaza ni kipi? Anaimba taarabu huyo na mduara. Mwenyezi mungu amrehemu. I am nauseted!
 
Kumbe ni hivyo?

Hizi social media zimetengeneza kundi kubwa sana la wajinga aisee!
Hhahaaa!wajinga kabisa yaani!maana wameona bila msuto wa nguvu hamna kutoka
Na nimeskia wana nyimbo wameitambulisha
Cheap publicity!!
 
Back
Top Bottom