tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Yaan wana mambo kweliNa hapo ndio kamstahi kweli kweli, maana wana midomo michafu hao balaa. Matusi kwa lafudhi lainiii[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wana mambo kweliNa hapo ndio kamstahi kweli kweli, maana wana midomo michafu hao balaa. Matusi kwa lafudhi lainiii[emoji23]
ovyoooooMkuu kwa hiyo ID yako, ngoja nikae tu kimya, hamchelewagi kumjazia mtu watu!
Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Mimi sitaki hata kulisikia.. Mtu aliliongea mbele yangu naweza kumzaba makofiHili neno KUCHAMBA limekaa kiukakasi sana!
Uchafu Tu na sifaMsechu sijui huwa anaimba nini?
Thubutuuuuuu,jaribu uoneMimi sitaki hata kulisikia.. Mtu aliliongea mbele yangu naweza kumzaba makofi
hahahahahaaaa daah nimecheka sana aiseeeMungu wangu kizazi cha wanaume halisi kinatoweka kwa kasi
Wanaume hawaandiki mipasho. atakuwa wakiume au mvulana.Mkuu ni mwanaume ndo kaandika
Pia mdomo kuubetuausisahau na kiuno kutikisika
Yaani si bure atakuwa na tatizo huyu ATHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
ndo wanaume wa siku hhizi wakati wa zamani walisifiwaga kwa pesa wao wanasifiwa kwa kuchamba ka jikeMwanaume hutakiwi kusifiwa kuchamba ....
Msechu anyamaze tu.....asimjibu kitu
Kumbe !! Si kosa lakeMuimba taarabu na mduara