naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Angefanya hivi [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Sio kwa mtindo wa kumuita mwanaume mwenzio 'babu' maana hapa napata picha ingekuwa wanajibizana ana kwa ana na vidole pia vingekuwa juu ama mikono kiunoni kama watoto wa kike. Huu si uzenji tena bali walakini wa kijinsia.