Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

nyinyi acheni kabisa...hayo ndo ya pwani....si mwanaume wala mwanamke wala mtoto..woote!watu wa zanzbar,tanga,pwani,mpkmombasa huko ndo walivyo..hasa akiwa shabiki wa taarab utajuta.
Tuombe radhi wanaume wa Tanga[emoji16]
 
Hivi alishamlipa yule mganga alijitokeza kwenye media akidai ndiye anayemtengeneza ili ngoma zake zihit?
 
Hapo pa muuza kofia nimejikuta nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Huyu binadamu hta simwelewagi
Mwanamme gani ana maneno km wanawake?
 
Hivi zile rap battles za akina Nas na Jay Z au Biggie na Tupac zina tofauti gani na kuchambana?

Au kwa vile zile ziko kwa Kiingereza?

Rap ni arts na ni njia ya kuingiza pesa
I am sure Jay z hawezi kumchamba mtu kwenye page ya Instagram....
but then again...i could be wrong....
 
Rap ni arts na ni njia ya kuingiza pesa
I am sure Jay z hawezi kumchamba mtu kwenye page ya Instagram....
but then again...i could be wrong....
Hahaaa....basi itakuwa hufuatilii vizuri yajiriyo kwenye social media Marekani.

Licha ya medium itumikayo, kuchamba ni kuchamba tu....rap disses nazo ni uchambaji tu.

Lakini kwa ulimbukeni tulionao Wabongo....hizo rap disses tunaweza kuzipa pass lakini mambo yetu ya Kiswahili tukayakomalia koo.

Ndivyo tulivyo.
 
“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT kwenye Instagram.

“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”

“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”

Wanaume wa zanzibar...!!!
 
Kwani Kofia za Oliver Mutukudzi zikoje?
 
Back
Top Bottom