Angefanya hivi [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Sio kwa mtindo wa kumuita mwanaume mwenzio 'babu' maana hapa napata picha ingekuwa wanajibizana ana kwa ana na vidole pia vingekuwa juu ama mikono kiunoni kama watoto wa kike. Huu si uzenji tena bali walakini wa kijinsia.
Sana Nina experiencesi mzanzibar wana maneno ya shombooo balaa!
mwanaume kama huyu humo ndani mnashindana michambo tuu!
Haas haaaaa utajijuuhivi huyu kaka anaeitwa AT
sio wale wanaotafutwa na makonda
Ndo nini hivo?Angefanya hivi [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Hujui mkuu kamchokoze AT utanielewaNdo nini hivo?
Mie WA mkoani, huyu AT Ntamuonea wapHujui mkuu kamchokoze AT utanielewa
hiv wamikoani wanatumiaga neno "mie"Mie WA mkoani, huyu AT Ntamuonea wap
Pole sana hata Mimi si wa Dar si mikoani Mimi wa Makao makuu labda siku ukipita kwenda Dar nistue nikujuze zaidi kuhusu ulichoulizaMie WA mkoani, huyu AT Ntamuonea wap
Wanatumia baadhi ila hawaweki neno "ga"hiv wamikoani wanatumiaga neno "mie"
Kwani neno ,"Mie" sio kiswahili?hiv wamikoani wanatumiaga neno "mie"
wanalitumia sana mademKwani neno ,"Mie" sio kiswahili?
Wana nyimbo wameifanya pamoja,wanatafuta kickhivi huyu kaka anaeitwa AT
sio wale wanaotafutwa na makonda