Dah.. Nimecheka sanaAya wambea wote mmeumbuka...acheni msengenyoooooooo....nendeni mkasikilze track yao mpya msengenyo
kumbe zile zilikua kiki za concert lao!!
Hhahaaa!wajinga kabisa yaani!maana wameona bila msuto wa nguvu hamna kutokaKumbe ni hivyo?
Hizi social media zimetengeneza kundi kubwa sana la wajinga aisee!
duuuuuuh,hatari!!!!!!!!!!!!!!!!!!Muimba taarabu na mduara