Tuombe radhi wanaume wa Tanga[emoji16]nyinyi acheni kabisa...hayo ndo ya pwani....si mwanaume wala mwanamke wala mtoto..woote!watu wa zanzbar,tanga,pwani,mpkmombasa huko ndo walivyo..hasa akiwa shabiki wa taarab utajuta.
Hivi zile rap battles za akina Nas na Jay Z au Biggie na Tupac zina tofauti gani na kuchambana?Mwanaume hutakiwi kusifiwa kuchamba ....
Msechu anyamaze tu.....asimjibu kitu
Hivi zile rap battles za akina Nas na Jay Z au Biggie na Tupac zina tofauti gani na kuchambana?
Au kwa vile zile ziko kwa Kiingereza?
Hahaaa....basi itakuwa hufuatilii vizuri yajiriyo kwenye social media Marekani.Rap ni arts na ni njia ya kuingiza pesa
I am sure Jay z hawezi kumchamba mtu kwenye page ya Instagram....
but then again...i could be wrong....
unaijua zanzibar vizuri?mbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
kwani katiba imemkataza wapi? nshakwambiaga achaga umbeya🙂Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
baki hukohuko Mabupandwe.Ni nani huyu AT
“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT kwenye Instagram.
“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”
“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”
Aisee wanaume tunaisha....kwa dizainiHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Hayo maneno ni ya mwanaume rijali kweli?Sitaki kuamini mwanaume unaanzaje kuandika maneno ya kikekike kwa mwanaume mwenzio.Mh!kama kaandika yeye kazi ipombona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale