Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

Jamaa mnene.. Kama Lodi Lofa
images (1).jpeg
 
Kina nani wana ujinga ujinga?????binadamu bwana hivi hàmjui hata mtu akifa inabidi kusheherekea kama sherehe nyingine za kuzaliwa na kuoa au kuolewa.

Unaposema ujinga ujinga unamanish.. Dini imemharibu Huyo!!!
 
View attachment 2920679

Inasemekana baada ya John Komba, Msechu ndio kama karithishwa mikoba .

Je Atapewa nafasi ya kutoa wimbo kwa ajili ya Mzee Mwinyi?

Ngoja tusubiri .
Ktk uislam hakuna nyimbo ktk msiba. Unamuimbia ili iwe nini? Ipo ktk katiba? Yeye wakati wa uhai wake akiimba kwaya au akisoma Quran?
Mambo ya manasara na mayahudi waislam wamekatazwa kuyafata
 
Back
Top Bottom